Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NE2ZZ.....UJUMBE WA MAALIM SEIF ALIPOMTEMBELEA JOB NDUGA: BOFYA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na Makamu wa Kwanza Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad umemtembele...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na Makamu wa Kwanza Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad umemtembelea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai nyumbani kwake Salasala Dar Es Salaam. Maalim Seif ameambatana na Kaimu Mwenyekiti wa CUF, Mhe. Severina Mwijage (MB), Naibu Katibu Mkuu CUF Tanzania Bara, Mhe. Magdalena Sakaya (MB) na Julius Mtatiro, Kada wa Chama Cha Wananchi CUF.

Maalim Seif na ujumbe wake wa kumjulia hali Job Ndugai baada ya kutoka nje ya nchi kwa matibabu. Mhe. Job Ndugai amemhakikishia Maalim Seif kuwa hali yake kiafya imeimarika sana. Maalim Seif amemtakia kiongozi huyo kila la heri.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top