Unknown Unknown Author
Title: HABARI: WATANZANIA TAKRIBANI TISA WATEKWA NA KUUWAWA KAGERA; SOMA ZAIDI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zaidi ya watanzania tisa waliokuwa wakijihusisha na shughuli za uvuvi ndani ya Mto Kagera ambao walikuwa wakiishi kwenye Mialo ya Rubwela...
Zaidi ya watanzania tisa waliokuwa wakijihusisha na shughuli za uvuvi ndani ya Mto Kagera ambao walikuwa wakiishi kwenye Mialo ya Rubwela,Kanyina,Katwe na Ruko iliyoko katika wilaya ya Kyelwa mkoa wa Kagera wanadaiwa kutekwa na kuuwawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni askari wa nchi ya Rwanda wakati wakifanya shughuli za uvuvi ndani ya mto huo.
Taarifa hiyo ya habari imeripotiwa na #ITV

TAZAMA #VIDEO HII KWA HABARI KAMILI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top