Unknown Unknown Author
Title: Shiiii...!!!! Achana na wale "visebengo",unaambiwa sasa huyu ndo Zari Wa Mond
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Siku chache zilizopita mama Tiffah wengi hupenda kumuita hivyo au ukipenda mwite Zari alipata fursa ya kwenda South Afrika kama kaw...


Siku chache zilizopita mama Tiffah wengi hupenda kumuita hivyo au ukipenda mwite Zari alipata fursa ya kwenda South Afrika kama kawaida yake  na akiwa huko alipiga picha mbalimbali katika jiji la CopeTown ikiwa kama ukumbusho wake na kuwafurahisha mashabiki wake katika mitandao ya kijamii huku akiambatanisha na maneno mbalimbali yaliyowafuhisha wasomaji na mashabiki wake.

Picha hizo alipiga maeneo mbalimbali hususani akiwa kwenye sanamu kama zionekanavyo hapo juu huku akiwa amekaa mapozi "hatari" na nyingine akipiga huku akiwa anatembea kama picha ionekanavyo hapo juu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top