Unknown Unknown Author
Title: ANTI APANDA GHARAMA, MWENYEWE ASEMA 1 MILIONI ANAIKATA KWA MLO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa filamu Bongo aliyeibukia kwenye utangazaji, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ yeye amesema shilingi 1,000,000 inaweza kutekete...
Msanii wa filamu Bongo aliyeibukia kwenye utangazaji, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ yeye amesema shilingi 1,000,000 inaweza kuteketea bila huruma kwa mlo mmoja wa jioni hotelini.

“Milioni lazima ikate, tena napenda sehemu zenye fukwe nzuri na zilizotulia. Kifupi napenda sehemu za maficho, zisizo na macho ya watu. Pesa hiyo sijaweka gharama ya mafuta ya gari.”

Mpe comment zake hapa kuhusiana na ubuyu huo!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top