Unknown Unknown Author
Title: Hivi ndivyo Bastian Schweinsteiger kiungo wa Man U alivyofunga ndoa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kiungo wa klabu ya soka ya Manchester United, Bastian Schweinsteiger wa Ujerumani hapo jana  alifunga ndoa ya kufana na mpenzi wake nyota...
Kiungo wa klabu ya soka ya Manchester United, Bastian Schweinsteiger wa Ujerumani hapo jana  alifunga ndoa ya kufana na mpenzi wake nyota nambari saba kwa ubora duniani katika mchezo wa tenisi,  Ana Ivanovic wa Serbia!!! Shirika la habari la Xinhua linawatakia wapenzi hao kila la kheri!! Hongera!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top