Unknown Unknown Author
Title: Weeeenh....!!!! Zari Hapimiki, Si kipesa Tu hii Sasa awashika wachonga "ngenga" Waliomwambia Anategemea Pesa Za Diamond
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mama Tiffah akiwa kwenye Moja ya swiming pool ya nyumba hiyo Kupitia ukurasa wa Instagram Wa mama Tiffah Mond amesema ukipenda mwete Z...
Mama Tiffah akiwa kwenye Moja ya swiming pool ya nyumba hiyo

Kupitia ukurasa wa Instagram Wa mama Tiffah Mond amesema ukipenda mwete Zari " I could live here forever...but I bed I'd get so bored easily being so isolated. Am a people's pearson, I love surrounding myself with people. Mybe a holiday home? Well that's a story for another day".

Kutokana na kauli hiyo wengi wamechukulia kwamba Mdada Huyo na mwandani wa msanii Diamond ameamua kutuonyesha mjumba wake ambao anauthamini na kuupenda wakati wote huku akiambatanisha na "kaption" mbalimbali alizozipiga na shosti zake katika mjengo huo.

Mama Tiffah akiwa kwenye kibambaza cha mlango was mjengo huo

Mama Tiffah akiwa na shosti zake katika mapozi mbalimbali

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top