Unknown Unknown Author
Title: SIRI ZAVUJA KUMBE.....DIAMOND KUMVISHA HARMONIZE "DERA" KATIKA NGOMA HII....!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kutoka katika ukurasa wa facebook wa msanii Harmonize, amesema ...... Mhhh copy! copy! copy!..... mwisho wa siku hata ukijisaidia utaambi...
Kutoka katika ukurasa wa facebook wa msanii Harmonize, amesema ......Mhhh copy! copy! copy!..... mwisho wa siku hata ukijisaidia utaambiwa jisaidie kama wewe usimcopy DiamondPlatnumz  ebwana mzee #simbaa  video ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa 😃😃😃 #INDE.

Kuuli hiyo imekuja kutokana na wapambe wengi wangimsonga msanii Harmonize wakidai anamuiga Diamond katika uvaaji pindi awapo kwenye kurekodi video za wimbo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top