Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND ASHIKIKI TENA ... WALAHI MA-LAKI YA WATU DUNIANI KUMTAZAMA YEYE SASA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KWA mara ya kwanza toka aanze Mziki,Msanii Diamond Platnumz ameweza kuvunja rekodi ya aina yake  ndani ya masaa 24 tu kwa watu zaidi ya l...
KWA mara ya kwanza toka aanze Mziki,Msanii Diamond Platnumz ameweza kuvunja rekodi ya aina yake  ndani ya masaa 24 tu kwa watu zaidi ya laki sita kumtazama kwa wakati mmoja katika mtandao Wa YouTube.

Staa huyo ambaye anatamba na hivi sasa na traki yake mpya kabisa ya KIDOGO aliyowashirikisha mastaa nguli kutoka Nigeria P Square,ameweka rekodi ya kutazamwa zaidi baada ya kuachia video ya wimbo huo katika mitandao ya kijamiii.

Diamond baada ya kuweka rekodi hiyo hakusita kuwashukuru mashabiiki zake ambao wamemuunga mkono kwa kazi nyingi.

Angalia hapa chini.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top