Unknown Unknown Author
Title: Zitto apotea Mchezoni, ni baada ya Hii ndoa yake
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HATIMAYE ZITTO KABWE AUKIMBIA UKAPERA,  AMUOA ANNA MTURA BWANA Hatimaye klabu ya wanaume wasiooa imepoteza mchezaji wao maarufu Zit...
HATIMAYE ZITTO KABWE AUKIMBIA UKAPERA, 
AMUOA ANNA MTURA BWANA

Hatimaye klabu ya wanaume wasiooa imepoteza mchezaji wao maarufu Zitto Kabwe baada ya kuamua kufunga ndoa kisiwani Unguja, Zanzibar, leo.

Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini ameuaga ukapera baada ya kumuoa Bi Anna Mtura Bwana ambapo ndoa yao yameifungia mjini Nungwi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top