Unknown Unknown Author
Title: MJASIRIA MALI ATOA MADAWATI TUNDUMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera, amepokea msaada wa madawati 10 toka kwa kijana Mjasiliamali wa Wilaya ya Tunduru anae...
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera, amepokea msaada wa madawati 10 toka kwa kijana Mjasiliamali wa Wilaya ya Tunduru anaefahamika kwa Jina la Frank Mungira.

Frank Mungira amewahasa Vijana wajitokeze kuchangia Madawati bila kujali ni kiasi gani cha Madawati wanachangia hata kama ni moja au mbili, kwani haba na haba hujaza kibaba.        
 
Kwa upande wa Mhe. Juma Zuberi Homera amemshukuru kijana mwenzake kwa kujitokeza na kumuunga mkono katika juhudi za kuhakikisha Wilaya ya Tunduru inaondokana na changamoto la upungufu wa Madawati.

Mhe. Juma Homera amesema Wilaya ya Tunduru itaondokana na tatizo la upungufu wa Madawati hivi karibuni kwani hadi sasa wamefikia asilimia 90 ili kuindoa tatizo la upunguvu wa Madawati kwa shule ya Msingi na Sekondari.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top