Unknown Unknown Author
Title: MFALME YUSSUF AAGA RASMI, MWENYEWE AITA DHAMBI AJITAKASA MSIKITINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa muziki wa Taarab, Mzee Yusuph hapo chini pichani ametangaza kuachana na sanaa ya muziki.  Atangaza kumrudia Mungu akiwa msiki...
Msanii wa muziki wa Taarab, Mzee Yusuph hapo chini pichani ametangaza kuachana na sanaa ya muziki. 

Atangaza kumrudia Mungu akiwa msikitini, alia kwa uchungu huku akijuta aliyokuwa akiyafanya awali.
Hakuishia hapo tu, Pia amewaomba watanzania wote na wapenzi wake wa muziki wake waache mara moja kupiga nyimbo zake huku akiviomba vyombo vyote vya habari kama Redio na Tv's kuacha kupiga nyimbo zake kwani kufanya hivyo itakuwa ni dhambi kwao kwani yeye tayari amejitoa katika dhambi hiyo.

MSHIRIKISHE NA MWENZAKO

NINI MAONI YAKO KUTOKANA NA HATUA ALIYOICHUKUA MFALME YUSSUF...!!!!!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top