Unknown Unknown Author
Title: Eenh...!!! kumbe Diamond ndo maana hashikikwi na kibakuli
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati dunia inapozidi kuzunguka na maisha yanazidi kusonga msanii Diamond Platnumz ameibuka na kusema "kabla hajatoka wasanii wa ku...
Wakati dunia inapozidi kuzunguka na maisha yanazidi kusonga msanii Diamond Platnumz ameibuka na kusema "kabla hajatoka wasanii wa kurap walikuwa na thamani kubwa hata yeye alihamasika kufanya muziki huo".

Hivyo basi kutokana na matamanio hayo Diamond ameendelea kuwa mwiba katika tasinia ya sanaa hususani katika nyimbo za Bongo Fleva na kuwaacha wasanii wenzake mbali kimafanikio kama Alikiba na wengine wengi.

Unadhani Diamond angefanya vizuri kama angekuwa rapa?

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top