Unknown Unknown Author
Title: MAKONDA ATEMA CHECHE, MWENYEWE ASEMA TANZANIA NI MASKINI PAMOJA NA UTAJIRI WAKE WOTE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kumekuwepo na maneno yanasambazwa katika mitandao ya kijamii yakijieleza yameandikwa na Mh Makonda Kupitia ukurasa wake wa facebook yakis...
Kumekuwepo na maneno yanasambazwa katika mitandao ya kijamii yakijieleza yameandikwa na Mh Makonda Kupitia ukurasa wake wa facebook yakisema "Unataka kujuwa kwa nini Tanzania ni masikini pamoja na UTAJIRI MKUBWA WA MALIASILI tulizonazo? Soma Mkataba wa Yanga wanaosaini LEO".

Kauli hii imekuja kutokana na kile kinachodaiwa kwamba Timu ya Yanga imeingia mkataba wa kukodishwa miaka kumi(10) kwa mwenyekiti wao Manji kwa asilimia sabini na tano (75%) huku Timu hiyo ikibakiwa na asilimia ishirini na tano (25%) pamoja na majengo yake.

TOA MAONI YAKO JUU YA YALE YANAYOENDELEA KATIKA TIMU YA YANGA HUSUSANI SWALA ZIMA LA KUKODISHWA KWA MIAKA KUMI.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top