Unknown Unknown Author
Title: LISU MBOWE KUKAANGWA KWA MAADILI, WAKAA MGUU PANDE MGUU SAWA UBUNGE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge Tundu Lissu amesema barua aliyoandikiwa na Sekretarieti ya Maadili ni njama ya kisheria ya kutaka kumvua ubunge wake. Mbunge h...
Mbunge Tundu Lissu amesema barua aliyoandikiwa na Sekretarieti ya Maadili ni njama ya kisheria ya kutaka kumvua ubunge wake.

Mbunge huyo pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wameandikiwa barua na Sekretarieti ya Maadili kwa kukiuka baadhi ya masharti ya maadili ya viongozi

TOA MAONI YAKO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top