Unknown Unknown Author
Title: TUNDU LISU AFUNGUKA HAYA KWA RAIS JPM, AMUITA MTUKUFU MWENYEWE AONYA MAHABUSU SI PAZURI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ikumbukwe kwamba Mh. Tundu Lisu ni Mbunge WA Singida Mashariki, alikamatwa na polisi mkoani Singida kwa kesi ya kufanya mkutano huko Sing...
Ikumbukwe kwamba Mh. Tundu Lisu ni Mbunge WA Singida Mashariki, alikamatwa na polisi mkoani Singida kwa kesi ya kufanya mkutano huko Singida. Baada ya kukamatwa alisafirishwa mpaka Dar es Salaam na huko ndipo aliposwekwa mahabusi kwa usiku mmoja na kesho yake kupata dhamani.

Wakati akipatiwa dhamana Tundu lisu akawa na haya ya kusema, "Hakuna mtu anataka kumjaribu Rais JPM, hakuna anayetaka kukamatwa, mahabusu sio pazuri niulizeni mimi" 

NINI MAONI YAKO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top