Unknown Unknown Author
Title: HIKI NDICHO ALICHOKISEMA MSINDAI, AFICHUA SIRI ZOTE ZA LOWASSA WA CHADEMA NA CCM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na baadaye kuhama chama na kujiunga na Chadema, Mgana Msindai amerudi CCM leo. Msindai al...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na baadaye kuhama chama na kujiunga na Chadema, Mgana Msindai amerudi CCM leo.

Msindai alitangaza uamuzi huo leo mjini Dodoma baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakati anaendesha mkutano mkuu wa CCM uliomchagua Rais Dk John Magufuli kuongoza chama.

Msindai alisema aliamua kurudi CCM baada ya kuona hakuna cha kupinga baada ya Rais Magufuli kuchaguliwa kuwa rais wa nchi.

Msindai aliingia Chadema baada ya aliyekuwa mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa kujiunga na Chadema mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu.

NINI MTAZAMO WAKO JUU YA HAWA WANASIASA WA TANZANIA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top