Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO DK. MWAKA ALIVYO PIGWA "PIN" NA SERIKALI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Serikali imefungia kituo cha tiba asilia cha Foreplan kinachomilikiwa na Tabibu Juma Mwaka Juma kwa kukiuka masharti ya kibali alichopewa...
Serikali imefungia kituo cha tiba asilia cha Foreplan kinachomilikiwa na Tabibu Juma Mwaka Juma kwa kukiuka masharti ya kibali alichopewa kwa kujitangaza kuwa anatoa tiba za kisasa badala ya matibabu ya asilia.

Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Dkt. Edmund Kayombo amesema kuwa kituo hiko kimefutiwa usajili na hakiruhusiwi kutoa huduma za tiba asilia na Tiba mbadala kwa jamiijamii.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top