Unknown Unknown Author
Title: LUHENDE APIGA "BAO" LA KISIGINO, NI YULE ALIYESEMEKANA MSIMAMIZI WA HOTELI SINZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi Luhende Pius Gerald akionyesha vyeti vyake vya masomo kwa wandishi wa habari. Ikumbukwe kwamba Luh...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi Luhende Pius Gerald akionyesha vyeti vyake vya masomo kwa wandishi wa habari.

Ikumbukwe kwamba Luhende alichafuliwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa elimu yake ni cheti cha usimamizi wa Hoteli.

Hivyo ikamlazimu siku ya leo  kuwaonesha waandishi wa habari kuwahakikishia kuwa ana Elimu ya Uzamili.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top