Unknown Unknown Author
Title: MREMAVU Afungiwa ndani ya nyumba kwa miaka 11
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto mlemavu Fredrick Emmanuel, afungiwa ndani ya nyumba kwa miaka 11 na wazazi wake huko Kata ya Ilemi mkoani Mbeya kwa madai ya kufich...
Mtoto mlemavu Fredrick Emmanuel, afungiwa ndani ya nyumba kwa miaka 11 na wazazi wake huko Kata ya Ilemi mkoani Mbeya kwa madai ya kuficha aibu kwa jamii. Mtoto huyo ambaye sasa ana miaka 20, amekuwa akiishi ndani bila kutolewa nje, hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofika kiafya.

Je, huu ni uungwana?

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top