Unknown Unknown Author
Title: Sakata la kuingiza Shilingi Milioni 7 kwa dakika laingia Sura Mpya
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtuhumiwa Isaack Kasanga anayehusishwa na lile Sakata  la kuingiza Shilingi Milioni 7 kwa dakika  wa kampuni ya Easy Finance apandishwa k...
Mtuhumiwa Isaack Kasanga anayehusishwa na lile Sakata la kuingiza Shilingi Milioni 7 kwa dakika wa kampuni ya Easy Finance apandishwa kizimbani leo.

Amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuiibia TRA kupitia mashine za EFD.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top