Unknown Unknown Author
Title: KIMEELEWEKA... DIAMOND AELEKEA KUMKACHA ZARI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wanadaiwa Kuwa wapenzi wa msimu, inasemekana wanajiachia Zari akiwa hayupo Bongo. Kwasasa Hamisa anash...
Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wanadaiwa Kuwa wapenzi wa msimu, inasemekana wanajiachia Zari akiwa hayupo Bongo. Kwasasa Hamisa anashambuliwa mitandaoni na fans wa Zari na Diamond kwa tuhuma hizo ambazo amezikana.

Hata hivyo, hata Kabla ya diamond Kuwa na Zari ilisharipotiwa wawili hao walibanjuka ingawa wote walikana.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top