Unknown Unknown Author
Title: KIMEELEWEKA YANGA SC NA HIKI NDICHO KILICHOMKIMBIZA MANJI MWENYEWE ASEMA PESA YAKE NGENGA ZA NINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"Natukanwa sana na baadhi ya matajiri ambao ni wapenzi wa Yanga. Hawapendi mimi niwepo pale..... . Pesa ni yangu natoa kwa mapenzi n...
"Natukanwa sana na baadhi ya matajiri ambao ni wapenzi wa Yanga. Hawapendi mimi niwepo pale..... . Pesa ni yangu natoa kwa mapenzi niliyonayo kwa klabu yangu. . Kwanini nitukanwe wakati sipati maslahi yoyote?najiuzulu".  Ni kauli ya mwenyekiti wa Yanga SC ambaye ametangaza kujiuzulu kufuatia kusakamwa na hasa baada ya kuomba kuichukua Yanga kwa miaka 10.

Hata hivyo kumekuwa na vikao mbalimbali kumsihi Manji abadili maamuzi yake lakini inaonekana amechoka na ameamua kuibwaga Yanga.Tayari Reginald Mengi ameonesha nia ya kuingia Yanga endapo Manji ataondoka. . Leo jioni baraza la wazee wanataraji kuwa na kikao na Mengi.

Tusubiri.Natukanwa sana na baadhi ya matajiri ambao ni wapenzi wa Yanga. . Hawapendi mimi niwepo pale. . Pesa ni yangu natoa kwa mapenzi niliyonayo kwa klabu yangu. . Kwanini nitukanwe wakati sipati maslahi yoyote?najiuzulu". . Ni kauli ya mwenyekiti wa Yanga SC ambaye ametangaza kujiuzulu kufuatia kusakamwa na hasa baada ya kuomba kuichukua Yanga kwa miaka 10.

Hata hivyo kumekuwa na vikao mbalimbali kumsihi Manji abadili maamuzi yake lakini inaonekana amechoka na ameamua kuibwaga Yanga.Tayari Reginald Mengi ameonesha nia ya kuingia Yanga endapo Manji ataondoka. . Leo jioni baraza la wazee wanataraji kuwa na kikao na Mengi.

Tusubiri.

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top