Unknown Unknown Author
Title: Leo siku ya Jumanne tarehee 16/08/2016 katika Dondoo Za Am
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dondoo za BBC leo Mwanariadha wa Kenya David Rudisha adhihirisha umwamba wake kwenye mbio za mita 800  mbele ya maelfu ya mashabiki mjin...
Dondoo za BBC leo

Mwanariadha wa Kenya David Rudisha adhihirisha umwamba wake kwenye mbio za mita 800  mbele ya maelfu ya mashabiki mjini Rio de jeneiro

Donald Trump aeleza mpango wake wa kupambana na kile alichokiita kuwa  ugaidi wa waislamu wenye itikadi kali.

Shirika la Save the Children latahadharisha homa ya manjano kukumba bara la Ulaya, Amerika na Asia.


Upinzani nchini Zambia umeshutumu mamlaka ya uchaguzi kwa mipango ya kumpendelea rais Edgar Lungu watapinga matokeo hayo katika mahakama ya katiba.

Utasikia taarifa namna watoto wenye ulemavu wa ngozi, Albino wanavyohifadhiwa mjini Shinyanga kama yatimayatima.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top