Unknown Unknown Author
Title: KUMBE SARAFINA HAKUFA NI UZUSHI TU: STOR NZIMA HII HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina hajakufa!! Tetesi za hivi majuzi kutoka kwa mitandao...

Muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina hajakufa!!

Tetesi za hivi majuzi kutoka kwa mitandao ya kijamii kuhusu kifo chake zilkukua ni za uwongo.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Afrika Kusini,habari hizo kuwa ni uongo wa kupindukia. Mtandao wa wasanii nchini Afrika Kusini unaojulikana kama ‘Mzansi’ ulikanusha taarifa hizo za kifo cha Leleti na kusema ni za uongo na umewatoa hofu mashabiki waliopatwa na mshtuko baada ya kupata taarifa hizo.

Sarafina alitamba sana kwenye filamu ya Sarafina aliyoigiza kama mwanafunzi alishiriki kwenye kupigania haki dhdi ya wakoloni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top